Eleza matumizi tofauti ya alama ya mshangao au hisi

      

Eleza matumizi tofauti ya alama ya mshangao au hisi.

  

Answers


kelvin
a) kuamrisha
? Kachezeeni nje!
? Kamau! Unafanya nini?
b) baada ya vihisishi
? Masalaale! Pesa zangu zote zimeibwa.
c) baada ya sentensi iliyo mshangao
? Gari langu limeibwa!
d) kusisitiza
? Kesho msichelewe kuwasili shuleni!
e) kudharau/kubeza
? Mwangalie! Kichwa kama jiwe.
f) baada ya tanakali
? Mate yalimdondoka ndo! Ndo! Ndo!

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:54


Next: Taja matumizi ya koloni/nukta mbili
Previous: Eleza matumizi tofauti ya alama ya kiulizo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions