Eleza matumizi tofauti ya alama ya kiulizo

      

Eleza matumizi tofauti ya alama ya kiulizo.

  

Answers


kelvin
a) mwishoni mwa sentensi iliyo swali
b) mwishoni mwa methali zenye muudo wa swali
? Pilipili usiyoila yakuwashiani?
c) kuonyesha shaka
? Kenyatta alizaliwa mwaka wa 1945(?)
d) kuonyesha mwaka wa kuchapishwa kwa kitabu haujulikani
? Mlacha J (?) Tujijue Ipasavyo

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:55


Next: Eleza matumizi tofauti ya alama ya mshangao au hisi
Previous: Herufi nzito hutumika vipi katika uakifishaji

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions