Herufi nzito hutumika vipi katika uakifishaji

      

Herufi nzito hutumika vipi katika uakifishaji

  

Answers


kelvin
a) kusisitiza
? Jibu maswali manne pekee.
b) kuonyesha wakati/njeo au hali
? Nilicheza,Nimelima
c) kuonyesha umoja na wingi
? mtoto-watoto
d) kuonyesha aina ya neno katika sentensi
? Mtoto wake amelala (kivumishi)

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:56


Next: Eleza matumizi tofauti ya alama ya kiulizo
Previous: Eleza matumizi tofauti ya alama ya mlazo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions