Kinyota kina matumizi yapi?

      

Kinyota kina matumizi yapi?

  

Answers


kelvin
a) kuonyesha neno limeendelezwa vibaya
? *kitaabu
b) kuonyesha sentensi haina mpangilio sahihi wa maneno
? *Kisu cha hiki ni nani?
c) kuonyesha tanbihi (maelezo ya neno yanapatikana chini mwa ukurasa)
? idhibati*
d) kuonyesha sentensi ina makosa kisarufi
? *Kuku hii ni ya nani?

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:57


Next: Eleza matumizi tofauti ya alama ya mlazo
Previous: Jadili usemi halisi wa sentensi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions