Eleza usemi wa taarifa katika sentensi za kiswahili

      

Eleza usemi wa taarifa katika sentensi za kiswahili.

  

Answers


kelvin
? Ripoti kuhusu mambo yaliyosemwa na mtu mwingine.
a) Si lazima maneno yatokee yalivyosemwa. Yanaweza kubadilishwa mradi ujumbe ubakie ule ule.
a) Alama za mtajo, kiulizi na hisi hazitumiki.
b) Maneno “kwamba’ na ‘kuwa’ hutumiwa.
c) Baadhi ya maneno na viambishi hubadilika k.m.
usemi halisi usemi wa taarifa
-angu
-etu
-enu
-ako
wiki ijayo
kesho
leo
sasa
huyu
hii
ta/ki
ni
na
jana
Lo!
?
-ake
-ao
-ao
-ake
wiki iliyofuata
siku iliyofuata
siku hiyo
wakati huo
huyo
hiyo
nge
a
li
siku iliyotangulia
alishangaa
alitaka kujua

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 09:59


Next: Jadili usemi halisi wa sentensi
Previous: Taja maneno yanayodhihirisha vitate T/D kisha utolee mifano katika sentensi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions