Taja maneno yanayodhihirisha vitate T/D kisha utolee mifano katika sentensi

      

Taja maneno yanayodhihirisha vitate T/D kisha utolee mifano katika sentensi.

  

Answers


kelvin
Tata
a) hali ya kutoeleweka
? sentensi hii ni tata.
b) fundo katika uzi
? uzi umeingia tata/umetata.
Dada
a) ndugu wa kike
Tua
b) shuka kutoka angani
? ndege ilitua uwanjani.
c) weka chini k.v. mzigo
Dua
a) maombi kwa Mungu
? omba dua
? piga dua –apiza/laani
Toa
a) ondoa kitu ndani ya kinginea
b) kinyume cha jumlisha

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:01


Next: Eleza usemi wa taarifa katika sentensi za kiswahili
Previous: Katika sentensi bainisha tofauti iliyopo kati ya doa na ndoa

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions