Katika sentensi bainisha tofauti iliyopo kati ya doa na ndoa

      

Katika sentensi bainisha tofauti iliyopo kati ya doa na ndoa

  

Answers


kelvin
Doa
a) alama yenye rangi tofauti na mwili wa kitu
b) dosari/ila/walakini
Ndoa
a) arusi/makubaliano rasmi ya mwanamke na mwanamume kuishi pamoja kama mke na mume/chuo

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:02


Next: Taja maneno yanayodhihirisha vitate T/D kisha utolee mifano katika sentensi
Previous: Dhibitisha kwa kutolea mifano utata wa K na G

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions