Bainisha utata wa CH NA J

      

Bainisha utata wa CH NA J

  

Answers


kelvin
Changa
a) toa kitu ili kukusanya kwa kusudi fulani
b) siokomaa
c) chanja/pasua vipande vipande vidogo vidogo k.v. kuni
Janga
a) hatari/balaa
Chema
a) kizuri
Jema
a) zuri
Chini
a) kwenye ardhi/sakafu
Jini
a) shetani/ mtu muovu
Choka
a) pungukiwa na nguvu baada ya kufanya kazi
Joka
a) nyoka mkubwa sana

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:04


Next: Dhibitisha kwa kutolea mifano utata wa K na G
Previous: Kwa kutoa mifano onyesha tofauti ya matumizi ya V na F

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions