Kwa kutoa mifano onyesha tofauti ya matumizi ya V na F

      

Kwa kutoa mifano onyesha tofauti ya matumizi ya V na F.

  

Answers


kelvin
Faa
c) kusaidia
d) kuwa vizuri
Vaa
a) eneza kitu katika mwili ili kufunika sehemu fulani
Fua
a) safisha nguo
b) tengeneza kitu kutokana na madini
c) toa maji katika chombo
? fua maji
d) Hakufua dafu. (hakufaulu)
Vua
a) pata samaki kwa kutumia wavu, mshipi, ndoana n.k.
b) ondoa nguo mwilini
c) nusuru, okoa, ponya
d) vua macho (tazama)
Fika
a) wasili mahali
b) bila shaka/kabisa
Vika
a) valisha

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:05


Next: Bainisha utata wa CH NA J
Previous: Kwa kutungia sentensi onyesha matumizi ya sh na ch

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions