Kwa kutungia sentensi onyesha matumizi ya sh na ch

      

Kwa kutungia sentensi onyesha matumizi ya sh na ch

  

Answers


kelvin
Chaka
a) mahali penye miti iliyosongamana
b) msimu wa kaskasi/joto na ukavu wa ardhi
Shaka
a) wasiwasi
b) tuhumuma
Chali
a) lala mgongo juu kichwa chini
b) mtu anayechekesha watu kwa kuwatolea mkasa
Shali
a) kitambaa cha begani cha shehe
Shari
b) balaa (pata shari)
Chati
a) mchoro unaotoa maelezo Fulani
Shati
a) vazi la juu la mwili lenye mikono
Sharti
a) ¬lazima
Choka
a) pungukiwa na nguvu baada ya kufanya jambo kwa muda mrefu
Shoka
a) kifaa cha kukatia na kupasulia miti
Chombo
a) ala ya kufanyia kazi

Shombo
b) harufu mbaya ya samaki

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:06


Next: Kwa kutoa mifano onyesha tofauti ya matumizi ya V na F
Previous: Tunga sentensi kuonyesha matumizi tofauti ya th na dh

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions