Kwa kuunda maneno kisha kutunga sentensi, onyesha matumizi tofauti ya A/H

      

Kwa kuunda maneno kisha kutunga sentensi, onyesha matumizi tofauti ya A/H.

  

Answers


kelvin
Apa
a) tamka jina aghalabu la Mungu kuthibitisha jambo Fulani
Hapa
a) mahali karibu
Ama
a) au
Hama
a) toka mahali fulani ili kwenda mahali pengine kuishi (gura)
Adimu
a) -a shida kupatikana,nadra
Hadimu
a) -mtumishi (mahadimu)
Ajali
jambo la madhara au hatari
Hajali
a) kinyume cha jali
Auni
a) saidia
Launi
a) rangi

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:08


Next: Tunga sentensi kuonyesha matumizi tofauti ya th na dh
Previous: Thibitisha tofauti iliopo katika matumizi ya L na R

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions