Thibitisha tofauti iliopo katika matumizi ya L na R

      

Thibitisha tofauti iliopo katika matumizi ya L na R.

  

Answers


kelvin
Lahani
a) tuni
Rahani
a) chumba maalum katika nyumba au chombo cha kuwekea vitu
Lea
a) tunza mtoto
Rea
a) ghadhibika
Lemba
a) nyanganya kwa hila,punja
Remba
a) pamba, rembesha
Fahali
a) ng`ombe dume
Fahari
a) -a kujivuniwa kwa watu
Mahali
a) sehemu ambapo mtu au kitu huweza kukaa
Mahari
a) mali au fedha inayotolewa na mwanamme kupewa wazazi wa mwanamke anayetaka kumuoa

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:09


Next: Kwa kuunda maneno kisha kutunga sentensi, onyesha matumizi tofauti ya A/H
Previous: Thibitisha kwa kutungia sentensi matumizi tofauti ya vitate S/SH

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions