Thibitisha kwa kutungia sentensi matumizi tofauti ya vitate S/SH

      

Thibitisha kwa kutungia sentensi matumizi tofauti ya vitate S/SH.

  

Answers


kelvin
Saba
a) namba inayoonyesha idadi
Shaba
a) madini yenye rangi ya manjano
Saka
a) tafuta,winda
Shaka
a) wasiwasi
b) tuhuma
c) kutokuwa na hakika
Suka
a) tikisa kitu
b) pitisha kitu kama nywele baina ya zenyewe kupata mfumo fulani
Shuka¬
a) enda chini kutoka juu ya kitu
b) kitambaa cha kujifunga kiunoni
Soga
a) mazungumzo ya kupitisha wakati
Shoga
a) jina waitanalo wanawake marafiki
b) msenge
Sababu
a) kinachofanya jambo kutokea,chanzo
Shababu
a) kijana

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:10


Next: Thibitisha tofauti iliopo katika matumizi ya L na R
Previous: Onyesha matumizi tofauti ya vitate J/NJ

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions