Onyesha matumizi tofauti ya vitate J/NJ

      

Onyesha matumizi tofauti ya vitate J/NJ.

  

Answers


kelvin
Jaa
a) tosha
b) tapakaa kila mahali
c) mahali pa kutupia taka
Njaa
a) hali ya tumbo kutaka kupata chakula
b) ukosefu mkubwa wa chakula
Chema
a) kizuri
Jema
a) zuri
Njema
a) nzuri
Jia
a) sogelea karibu
Njia
a) barabara
b) namna au jinsi ya kufanya jambo

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:11


Next: Thibitisha kwa kutungia sentensi matumizi tofauti ya vitate S/SH
Previous: Bainisha tofauti ya matumizi ya vitate D/ND

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions