Bainisha tofauti ya matumizi ya vitate D/ND

      

Bainisha tofauti ya matumizi ya vitate D/ND.

  

Answers


kelvin
Dege
a) eropleni kubwa
b) ndege mkubwa
c) ugonjwa wa watoto unaosababishwa na homa kali
Ndege
a) mnyama aghalabu anayeruka kwa mabawa
b) eropleni inayosafiri angani
c) ndege mbaya/mzuri (bahati nzuri/mbaya)
Duni
a) kitu chenye thamani ya chini
Nduni
b) ajabu/lisilo la kawaida

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:12


Next: Onyesha matumizi tofauti ya vitate J/NJ
Previous: Tambulisha katika sentensi tofauti ya vitate B/MB

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions