Tambulisha katika sentensi tofauti ya vitate B/MB

      

Tambulisha katika sentensi tofauti ya vitate B/MB

  

Answers


kelvin
Basi
c) gari la abiria
d) kisha
Mbasi
rafiki
Buni
a) gundua
b) unda
c) tunga
Mbuni
a) ndege asiyeweza kuruka lakini huenda mbio sana
b) mkahawa au mti uzaao kahawa
Bali
a) lakini
b) sijali wala sibali (kusisitiza kutojali)

Mbali
a) si karibu
b) tofauti
Mbari
a) ukoo
Bega
a) sehemu ya mwili juu ya mkono na chini ya shingo
Mbega
a) nyani
b) manyoya ya ndege wanayojifunga wachezaji ngoma (jifunga mbega)
Iba
a) chukua kitu cha mtu mwingine bila ruhusa
Imba
b) tamka maneno kwa sauti ya mziki

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:13


Next: Bainisha tofauti ya matumizi ya vitate D/ND
Previous: Bainisha tofauti ya vitate G/NG katika sentensi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions