Bainisha tofauti ya vitate G/NG katika sentensi

      

Bainisha tofauti ya vitate G/NG katika sentensi

  

Answers


kelvin
Gawa
a) tenga katika sehemu mbalimbali
b) aina ya ndege wa usiku;kirukanjia
Ngawa
a) mnyama afananaye na paka
Guu
a) mguu mkubwa sana
Nguu
a) kilele cha mlima
b) nguru_aina ya samaki
Goma
a) kataa kufanya jambo mpaka masharti fulani yatimizwe
b) ngoma kubwa sana
c) duwi (aina ya samaki)
Ngoma
a) ala ya mziki inayotengenezwa kwa kuwambwa ngozi kwenye mzinga (piga ngoma)
b) mchezo wa kufuata mdundo wa ngoma (cheza ngoma)

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:14


Next: Tambulisha katika sentensi tofauti ya vitate B/MB
Previous: Tunga neno kisha toa maana kuonyesha tofauti ya vitate P/B

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions