Tunga neno kisha toa maana kuonyesha tofauti ya vitate P/B

      

Tunga neno kisha toa maana kuonyesha tofauti ya vitate P/B.

  

Answers


kelvin
Pata
a) kuwa na jambo, hali au kitu
b) kuwa kali
? Kinolewacho hupata.
Bata
a) ndege mwenye vidole vilivyotandwa aghalabu akaaye majini
Papa
a) samaki mkubwa
Baba
a) mzazi wa kiume
Pana
a) kinyume cha –embamba
Bana
a) finya
Bango
a) uwazi ulio ardhini,mtini au jabalini
Bango
a) kipande cha karatasi ngumu kama kadi
b) bati linalozuia matope juu ya gurudumu la gari au baiskeli
Pacha
a) watoto wanaozaliwa kutokana na mamba moja
Bacha
b) tundu kwenye ukuta; shubaka(closet)

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:15


Next: Bainisha tofauti ya vitate G/NG katika sentensi
Previous: Onyesha tofauti iliopo katika matumizi ya vitate T/D

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions