Onyesha tofauti iliopo katika matumizi ya vitate T/D

      

Onyesha tofauti iliopo katika matumizi ya vitate T/D.

  

Answers


kelvin
Tamu
a) enye ladha ya kuridhisha mdomo
Damu
a) maji mekundu yanayozunguka mwilini
b) ukoo
Taka
a) kuwa na haja ya jambo fulani
b) uchafu
Daka
a) pokea kwa mikono kilichorushwa
b) tunda bichi (nazi daka/danga)
Tokeza
a) fanya kuonekana
Dokeza
a) toa habari za siri kwa uchache

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:16


Next: Tunga neno kisha toa maana kuonyesha tofauti ya vitate P/B
Previous: Onyesha matumizi tofauti ya K/G

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions