Onyesha matumizi tofauti ya K/G

      

Onyesha matumizi tofauti ya K/G.

  

Answers


kelvin
Kamba
a) uzi mnene
b) samaki mdogo
c) mnyama wa baharini mwenye miguu mingi ambaye huliwa
d) kata kamba (kimbia)
Gamba
a) ngozi kama pembe ya kasa, samaki ,kasa au kobe(scales)
Konga
a) kuwa mzee
b) kusanya vitu au watu mahali pamoja (kongamano)
c) meza maji kidogo ili kupunguza kiu (konga roho)
Gonga
a) kutanisha kitu kimoja na kingine kwa kuvipiganisha
Koti
a) vazi zito livaliwalo juu ya nguo
Korti
a) mahakama
Goti
a) kiungo cha mguu kinachounganisha paja na muundi
Mfugo
a) mnyama anayefugwa nyumbani kwa ajili ya kuliwa au biashara
Mfuko
a) kitu cha kitambaa cha kutilia vitu

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:17


Next: Onyesha tofauti iliopo katika matumizi ya vitate T/D
Previous: Onyesha jinsi maudhui ya migogoro yalivyodhirishwa katika kitabu cha Damu Nyeusi katika hadithi ya mke wangu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions