Onyesha jinsi maudhui ya migogoro yalivyodhirishwa katika kitabu cha Damu Nyeusi katika hadithi ya mke wangu

      

Onyesha jinsi maudhui ya migogoro yalivyodhirishwa katika kitabu cha Damu Nyeusi katika hadithi ya mke wangu.

  

Answers


kelvin
? Msimulizi hafanyi kazi na anawategemea wazazi. Aziza haoni mtu asiyefanya kazi kama mume wake.
? Kuhusu kutumia mswaki na burashi, viatu na msimulizi kutotaka muuza madafu aingie ndani.

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:20


Next: Onyesha matumizi tofauti ya K/G
Previous: Maudhui ya utamaduni yamedhihirishwa vipi katika hadithi ya mke wangu katika kitabu cha damu nyeusi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions