Maudhui ya utamaduni yamedhihirishwa vipi katika hadithi ya mke wangu katika kitabu cha damu nyeusi

      

Maudhui ya utamaduni yamedhihirishwa vipi katika hadithi ya mke wangu katika kitabu cha damu nyeusi.

  

Answers


kelvin
? Wazazi wa msimulizi japo ni matajiri wanashikilia utamaaduni wa kuwachagulia watoto wachumba au wake.
? Msimulizi hataki kumwoa Salma Fadhil kwa utamaaduni wake wa kuificha sura yake kwa kuiremba marangi ya mAshavu na midomo.
? Utamaaduni wa mume kufanya kazi aweze kukimu familia.
? Utamaaduni wa mavazi/vifaa-viatu, mswaki, unga.
? Msimulizi na hata Fedhele wameacha mila na kugeukia uzungu. Fedhele anavaa kanzu inayomfika mapajani.
? Uigaji wa utamaaduni wa kigeni huweza kuwaathiri wanawake kwa kuwakosesha waume wa kuwaoa kama Fedhele.
? Kuoa watu wenye uhusiano wa damu nao-wazee wa Seluwa mtoto wa shangazi walitarajia msimulizi amuoe.

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:21


Next: Onyesha jinsi maudhui ya migogoro yalivyodhirishwa katika kitabu cha Damu Nyeusi katika hadithi ya mke wangu
Previous: Toa mifano katika hadithi ya mke wangu kuonyesha maudhui ya ukandamizaji wa wanawake

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions