Toa mifano katika hadithi ya mke wangu kuonyesha maudhui ya ukandamizaji wa wanawake

      

Toa mifano katika hadithi ya mke wangu kuonyesha maudhui ya ukandamizaji wa wanawake.

  

Answers


kelvin
? Msimulizi kusema ‘Huyu ni mwanamke na wanawake ni kama watoto wadogo, hawaachi kisebusebu.
? Msimulizi anataka kumwoa mwanamke mshamba amstaarabishe kuonyesha anachukulia mwanamke ndiye anahitaji maongozi ya mwanamme ilhali ni kinyume.
? Kumdharau Fedhele kwa kutembea usiku wakiwa pamoja na mvulana ni kuchukulia wanawake kama vyombo visivyoweza kujidhibiti.

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:22


Next: Maudhui ya utamaduni yamedhihirishwa vipi katika hadithi ya mke wangu katika kitabu cha damu nyeusi
Previous: Outline six considerations an ECDE teacher would make when developing resources for teaching environmental activities

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions