'Wapi kile kidume chako kioga? Nasikia ni mmoja wa wale waliotuuza. (1) Weka dondoo hili katika muktadha wake. (2)Oonyesha sifa nne mhusika aliyerejelewa kama 'kidume kioga'

      

'Wapi kile kidume chako kioga? Nasikia ni mmoja wa wale waliotuuza.
1)weka dondoo hili katika muktadha wake.
2)onyesha sifa nne mhusika aliyerejelewa kama 'kidume kioga'

  

Answers


Esther
Maneno haya yalisemwa na majoka, akimwambia Ashua ofisini mwake alipoenda kuomba msaada. Anamrejelea Sudi.
Sifa za Sudi.
1.mzalendo- anasimama kupiga vita ufisadi.
2.mwenye msimamo dhabiti-habadilishi mawazo licha ya kutishwa.
3.msomi- walisoma na Tunu shule moja
4.mwenye bidii- anafanya kazi ya kuchonga vinyago ili kukimu mahitaji ya familia yake.
Estherjeps answered the question on September 4, 2018 at 13:29


Next: Jadili dhana ya chozi katika chozi la heri
Previous: Country X has been experiencing an upward trend in the price of petrol as a result of a rise in inflation. State four steps that can...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions