Eleza kasoro nne ambazo hutumika kwa ngomezi kama kipera cha fasihi simulizi

      

Eleza kasoro nne ambazo hutumika kwa ngomezi kama kipera cha fasihi simulizi.

  

Answers


Esther
Ujumbe wake haufiki mbali.
Ujumbe wa ngoma hauwezi ukabainiwa au kueleweka kwa haraka
Unaweza ukapotoshwa na mfumo wa upepo.
Estherjeps answered the question on September 4, 2018 at 13:23


Next: Country X has been experiencing an upward trend in the price of petrol as a result of a rise in inflation. State four steps that can...
Previous: Explain why two third gender rule is difficult to achieve in Kenya

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions