Jadili maudhui ya elimu kama yanavyo dhihirika katika hadithi ya mke wangu

      

Jadili maudhui ya elimu kama yanavyo dhihirika katika hadithi ya mke wangu.

  

Answers


KELVIN
? Humkomboa mwanamke kutokana na udhalilishaji wa mwanamume kwa vile inamwongezea mwanamke hadhi na hata kufanya mwanamume amwogope.
? Huwafanya watu kuwa watumwa kama vile kuwafanya wadharau kazi za mikono au kujiajiri wenyewe na kutaka tu kuajiriwa ofisini-uboi wawe wakitumwa.
? Yaweza kupotosha watu na kuwasahaulisha mila na desturi zao.

kalvinspartan answered the question on August 15, 2018 at 12:15


Next: Jadili maudhui ya ndoa katika hadithi ya mke wangu
Previous: Toa mifano katika hadithi ya mke wangu kudhihirisha nafasi ya mwanamke katika jamii

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions