Toa mifano katika hadithi ya mke wangu kudhihirisha nafasi ya mwanamke katika jamii

      

Toa mifano katika hadithi ya mke wangu kudhihirisha nafasi ya mwanamke katika jamii.

  

Answers


KELVIN
? Msomi kama vile wa mjini.
? Ananyimwa elimu kama vile wa shambani.
? Ana uhuru kama vile Fedhele.
? Anathamini kazi na kuichukulia kama kipimo cha utu.
? Ana usemi k.m. Aziza.
? Mtamaaduni kama vile Salma na mamake msimulizi ambaye anamyependekezea mke.
? Mwacha mila kama vile Fedhele anayevaa kanzu hadi mapajani.
? Hana ubaguzi kama vile Aziza hambagui muuza madafu.

kalvinspartan answered the question on August 15, 2018 at 12:19


Next: Jadili maudhui ya elimu kama yanavyo dhihirika katika hadithi ya mke wangu
Previous: Ubaguzi unajitokeza vipi katika hadithi fupi ya mke wangu?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions