Ubaguzi unajitokeza vipi katika hadithi fupi ya mke wangu?

      

Ubaguzi unajitokeza vipi katika hadithi fupi ya mke wangu>

  

Answers


KELVIN
? Msimulizi anakataa kuoa wanawake walioelimika kwa kuwachukulia hawana maadili na hawafuati utamaaduni. Kinaya ni kwamba amuoa mke aliye mtamaaduni.
? Hataki muuza madafu aingie nyumbani kwake kwa kuwa ni duni.

kalvinspartan answered the question on August 15, 2018 at 12:20


Next: Toa mifano katika hadithi ya mke wangu kudhihirisha nafasi ya mwanamke katika jamii
Previous: Kwa kutoa mifano, onyesha matumizi ya nidaha katika hadithi ya mke wangu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions