Kwa kutoa mifano, onyesha matumizi ya nidaha katika hadithi ya mke wangu

      

Kwa kutoa mifano, onyesha matumizi ya nidaha katika hadithi ya mke wangu.

  

Answers


KELVIN
? Ngnhngnh!-msimulizi akidharau Fedhele.
? Barabara! Si watu kama vile ninyi?-Aziza kuudhika kwa msimulizi kudharau uchomaji na uuzaji mihogo kama kazi.
? Lo! Mimi nikachome mihogo niuze?-msimulizi kushangaa kwa kupendekezewa na mkewe ajiajiri kazi kama ya uchomaji mihogo.

kalvinspartan answered the question on August 15, 2018 at 12:21


Next: Ubaguzi unajitokeza vipi katika hadithi fupi ya mke wangu?
Previous: Onyesha jinsi mwandishi alivyotumia mbinu ya taharuki katika hadithi fupi ya Mke wangu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions