Onyesha jinsi mwandishi alivyotumia mbinu ya taharuki katika hadithi fupi ya Mke wangu

      

Onyesha jinsi mwandishi alivyotumia mbinu ya taharuki katika hadithi fupi ya Mke wangu.

  

Answers


KELVIN
? Kwa nini Aziza anamtazama msimulizi bila kumzungumzia?
? Msimulizi alimpa aziza talaka?
? Msimulizi alimwoa seluwa?
? Msimulizi alitilia maanani mafundisho ya Aziza na kuanza kufanya kazi?
? Aziza aliolewa na muuza madafu?

kalvinspartan answered the question on August 15, 2018 at 12:22


Next: Kwa kutoa mifano, onyesha matumizi ya nidaha katika hadithi ya mke wangu
Previous: Onyesha matumizi ya mbinu rejeshi katika hadithi fupi ya mke wangu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions