Onyesha matumizi ya mbinu rejeshi katika hadithi fupi ya mke wangu

      

Onyesha matumizi ya mbinu rejeshi katika hadithi fupi ya mke wangu.

  

Answers


KELVIN
? Msimulizi kuwaza jinsi alivyomkuta Fedhele Salim Saateni saa mbili usiku kavaa kanzu mpaka mapajani, kafuatana na shoga yake na wanamtia kijana mwanamume katikati yao.
? Anatufahamisha kuna siku wakati wa alasiri Seluwa alienda kuwatembelea yeye msimulizi na mkewe.

kalvinspartan answered the question on August 15, 2018 at 12:23


Next: Onyesha jinsi mwandishi alivyotumia mbinu ya taharuki katika hadithi fupi ya Mke wangu
Previous: Kwa kutolea mifano, onyesha matumizi ya tashbihi na takririr katika hadithi ya mke wangu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions