Kwa kutolea mifano, onyesha matumizi ya tashbihi na takririr katika hadithi ya mke wangu

      

Kwa kutolea mifano, onyesha matumizi ya tashbihi na takririr katika hadithi ya mke wangu.

  

Answers


KELVIN
Tashbihi
? Uko chini ya wazee wako kama mtoto anayenyonya-Aziza kwa msimulizi.
? Ngozi yake ilivyokacha utadhani msasa-ngozi ya aziza kuwa ngumu kwa kazi za mikono za shambani.
Takriri
? Muuza madafu amevaa kanzu mararu mararu.
? Hebu! Hebu! Aziza akimnyamazisha Seluwa ahakikishe ni sauti ya muuza madafu amesikia.
? Dafu! Dafu! –Sauti ya muuza madafu kama alivyoisikia msimulizi.
? Najua wewe una fikra namna na namna-Msimulizi akimwambia Aziza.

kalvinspartan answered the question on August 15, 2018 at 12:24


Next: Onyesha matumizi ya mbinu rejeshi katika hadithi fupi ya mke wangu
Previous: Maswali ya balagha yametumika vipi katika hadithi ya mke wangu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions