Maswali ya balagha yametumika vipi katika hadithi ya mke wangu

      

Maswali ya balagha yametumika vipi katika hadithi ya mke wangu.

  

Answers


KELVIN
? Mangapi umeng’olewa?-Aziza kuonyesha uduni wa mbinu za sasa za kutunzia meno anazotumia msimulizi.
? Sijui mimi nilikuwa narudi kutoka wapi vile?-wakati msimulizi alimuona fedhele usiku. Kinaya ni kuwa yeye pia alikuwa anatembea usiku na kachelewa kurudi nyumbani.
? Kitu kilichokufa kina uzima gani wa kukuhami wewe?-Aziza akidharau kiatu.
? Vipi mtu atafute kazi asipate?-Aziza kuonyesha mtu hawezi kukosa kazi hata kama ni ya kujiajiri.
? Basi wewe ndiye mume wa kunioa mie we?-Aziza hamchukui msimulizi kuwa mumewe kwa kukosa kazi.

kalvinspartan answered the question on August 15, 2018 at 12:25


Next: Kwa kutolea mifano, onyesha matumizi ya tashbihi na takririr katika hadithi ya mke wangu
Previous: Onyesha jinsi nahua na methali zimetumika katika hadithi fupi ya mke wangu kwa kutoa mifano

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions