Onyesha jinsi nahua na methali zimetumika katika hadithi fupi ya mke wangu kwa kutoa mifano

      

Onyesha jinsi nahua na methali zimetumika katika hadithi fupi ya mke wangu kwa kutoa mifano

  

Answers


KELVIN
Methali
? Kwenye nchi ya vipofu, mwenye jicho moja atakuwa mfalme.
? Kila mtu na kazi yake.-msimulizi kuonyesha hawezi kufanya kazi za mikono.
Nahau
? Nimvumbike mwenyewe mpaka aive-amuoe mwanamke amstaarabishe.
? Kupatia mguu-Aziza hajawahi kufika mjini.
? Tulikwenda sare kwa kupimana-msimuliz na Aziza kuwa sawa.
? Kuwa na kidomo-hakumpenda salma kwa kusema maneno ya watu au kujibizana-kinaya ni kuwa aliyemwoa (aziza) anajibizana naye.
? Nikawaweka kando-msimulizi kukataa kuwaoa wanawake aliochaguliwa eti hawana maadili.

kalvinspartan answered the question on August 15, 2018 at 12:26


Next: Maswali ya balagha yametumika vipi katika hadithi ya mke wangu
Previous: Toa mifano miwili ya taswira kama ilivyotumika katika hadithi fupi ya mke wangu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions