Toa mifano miwili ya taswira kama ilivyotumika katika hadithi fupi ya mke wangu

      

Toa mifano miwili ya taswira kama ilivyotumika katika hadithi fupi ya mke wangu.

  

Answers


KELVIN
? Fedhele salim kuvaa kanzu mpaka mapajani.-kuonyesha uigaji wa utamaaduni wa kigeni.
? Salma Fadhil kujifunika uso na kujiremba marangi ya mAshavu na midomo-kuonyesha utamaaduni. Kinaya ni kuwa msimulizi anakataa utamaaduni ilhali yeye anaufuata kama vile kuchaguliwa mke na anaishia kuoa Aziza aliye mtamaaduni.
? Alinionyesha viganja vyake nikaona namna ngozi yake ilivyokacha utadhani msasa.


kalvinspartan answered the question on August 15, 2018 at 12:28


Next: Onyesha jinsi nahua na methali zimetumika katika hadithi fupi ya mke wangu kwa kutoa mifano
Previous: What is basal metabolic rate?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions