onyesha matumizi ya tashhisi katika hadithi fupi ya samaki wa nchi za joto

      

onyesha matumizi ya tashhisi katika hadithi fupi ya samaki wa nchi za joto

  

Answers


KELVIN
? Nilivaa tabasamu niliyowahifadhia wanaume, tabasamu ya geresha-Christine kwa Peter.
? Nilijaribu kumjibu lakini sauti ilinikwama kooni. Ukatokea mnong’ono.
? Aibu ilinivaa-Christine akitoka kwa Zac baada ya kukutana na Peter kwa kushindwa kumjibu Peter au kusema haja ya moyo wake.
? Nilikuwa nikiwangwa na kichwa changu kutokana na hedhi.
? Springi za kitanda kulalamikia uzito wake wa ziada-kutoa kelele Peter alipokalia na kuzidisha uzito.
? Mvinyo ulikuwa umenipa ujasiri fulani-Christine kutojishughulisha na Peter.
? Macho yake kila mara yalinihukumu-ya Deogracius.
? Wacha ukimwi uwateketeze-uwaangamize-wakati amemsindikiza Peter akielekea Nairobi.
? Kutokana na mpito wa wakati, nywele za Peter kuwa zinabadilika rangi pengine kutokana na shinikizo la biashara ya nchi za nje ya samaki.
? Nikaachwa nikiadhibiwa na mikondoo ya macho ya watu-baada ya kubusiwa shavuni na Peter.
? Jua liliendelea kuadhibu kila kiumbe –kuwaka vikali Christine akiwa katika matatu.

kalvinspartan answered the question on August 15, 2018 at 12:33


Next: Eleza maudhui manne yanayojitokeza katika hadithi fupi ya samaki wa nchi za joto
Previous: Taswira inajitokeza vipi katika samaki wa nchi za joto

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions