? Deogracius amepinda mgongo kwa umri na mwenye miguu ya matege.
? Kwa Peter, michoro ya kisana ilitundikwa ukutani, makabati ya vioo yaliyosheheni vinywaji vya aina aina na vyombo vya kichina-utajiri.
? Chumba cha Zac kina kuta zilizobambuka rangi, balbu iliyotoa mwangaza hafifu, picha kubwa ya Bob Marley iliyorarukararuka, vitabu vikuukuu viwili vya ‘Penguin Classics’, kitanda chake kimetandikwa blanketi ya rangi ya kahawia.
? Zac kufungua kikabati kidogo cheusi akatoa sahani mbili nyekundu za plastiki zilizoonyesha kuwa na mafutamafuta, kikombe cha kijani kibichi cha plastiki na glasi iliyokuwa na mavumbi.
? Nikatabasamu nikitaka aone meno yangu yenye weupe wa maziwa.
? Noti za dola za kijani kibichi.
? Wajihi wa Peter ulikuwa wa wekundu usiokoza na wala sio weupe usiotakata. Nywele zake tu ndizo zilikuwa nyeupe
? Tankhill, makasri ya mabalozi yalizungushwa kuta za mawe, juu ya kuta hizo kumechomekwa vigae vya chupa. Kuna mabwawa ya kuogelea na walinzi wa kulipwa-kuonyesha utabaka.
? Peter, akiwa na bombo (kaptula) aliyoipenda sana, alionekana kama mvulana wa miaka 14.
? Alikuwa na maungo mviringo ya ujana, mwili laini kama wa mwanamke na miguu iliyobonyea na iliyopuuka.
? Miriam rafiki yake Christine ni Mtutsi aliyekuwa na wembamba waliopendelea wazungu na macho ya vikombe.
kalvinspartan answered the question on August 15, 2018 at 12:34
- onyesha matumizi ya tashhisi katika hadithi fupi ya samaki wa nchi za joto (Solved)
onyesha matumizi ya tashhisi katika hadithi fupi ya samaki wa nchi za joto
Date posted: August 15, 2018. Answers (1)
- Eleza maudhui manne yanayojitokeza katika hadithi fupi ya samaki wa nchi za joto(Solved)
Eleza maudhui manne yanayojitokeza katika hadithi fupi ya samaki wa nchi za joto.
Date posted: August 15, 2018. Answers (1)
- Eleza kwa kina ufaafu wa mada "SAMAKI WA NCHI ZA JOTO" katika tamthilia ya damu nyeusi(Solved)
Eleza kwa kina ufaafu wa mada "SAMAKI WA NCHI ZA JOTO" katika tamthilia ya damu nyeusi
Date posted: August 15, 2018. Answers (1)
- Toa mifano miwili ya taswira kama ilivyotumika katika hadithi fupi ya mke wangu(Solved)
Toa mifano miwili ya taswira kama ilivyotumika katika hadithi fupi ya mke wangu.
Date posted: August 15, 2018. Answers (1)
- Onyesha jinsi nahua na methali zimetumika katika hadithi fupi ya mke wangu kwa kutoa mifano(Solved)
Onyesha jinsi nahua na methali zimetumika katika hadithi fupi ya mke wangu kwa kutoa mifano
Date posted: August 15, 2018. Answers (1)
- Maswali ya balagha yametumika vipi katika hadithi ya mke wangu(Solved)
Maswali ya balagha yametumika vipi katika hadithi ya mke wangu.
Date posted: August 15, 2018. Answers (1)
- Kwa kutolea mifano, onyesha matumizi ya tashbihi na takririr katika hadithi ya mke wangu(Solved)
Kwa kutolea mifano, onyesha matumizi ya tashbihi na takririr katika hadithi ya mke wangu.
Date posted: August 15, 2018. Answers (1)
- Onyesha matumizi ya mbinu rejeshi katika hadithi fupi ya mke wangu(Solved)
Onyesha matumizi ya mbinu rejeshi katika hadithi fupi ya mke wangu.
Date posted: August 15, 2018. Answers (1)
- Onyesha jinsi mwandishi alivyotumia mbinu ya taharuki katika hadithi fupi ya Mke wangu(Solved)
Onyesha jinsi mwandishi alivyotumia mbinu ya taharuki katika hadithi fupi ya Mke wangu.
Date posted: August 15, 2018. Answers (1)
- Kwa kutoa mifano, onyesha matumizi ya nidaha katika hadithi ya mke wangu(Solved)
Kwa kutoa mifano, onyesha matumizi ya nidaha katika hadithi ya mke wangu.
Date posted: August 15, 2018. Answers (1)
- Ubaguzi unajitokeza vipi katika hadithi fupi ya mke wangu?(Solved)
Ubaguzi unajitokeza vipi katika hadithi fupi ya mke wangu>
Date posted: August 15, 2018. Answers (1)
- Toa mifano katika hadithi ya mke wangu kudhihirisha nafasi ya mwanamke katika jamii(Solved)
Toa mifano katika hadithi ya mke wangu kudhihirisha nafasi ya mwanamke katika jamii.
Date posted: August 15, 2018. Answers (1)
- Jadili maudhui ya elimu kama yanavyo dhihirika katika hadithi ya mke wangu(Solved)
Jadili maudhui ya elimu kama yanavyo dhihirika katika hadithi ya mke wangu.
Date posted: August 15, 2018. Answers (1)
- Jadili maudhui ya ndoa katika hadithi ya mke wangu(Solved)
Jadili maudhui ya ndoa katika hadithi ya mke wangu
Date posted: August 15, 2018. Answers (1)
- Eleza kasoro nne ambazo hutumika kwa ngomezi kama kipera cha fasihi simulizi(Solved)
Eleza kasoro nne ambazo hutumika kwa ngomezi kama kipera cha fasihi simulizi.
Date posted: August 11, 2018. Answers (1)
- 'Wapi kile kidume chako kioga? Nasikia ni mmoja wa wale waliotuuza. (1) Weka dondoo hili katika muktadha wake. (2)Oonyesha sifa nne mhusika aliyerejelewa kama 'kidume kioga'(Solved)
'Wapi kile kidume chako kioga? Nasikia ni mmoja wa wale waliotuuza.
1)weka dondoo hili katika muktadha wake.
2)onyesha sifa nne mhusika aliyerejelewa kama 'kidume kioga'
Date posted: August 11, 2018. Answers (1)
- Jadili dhana ya chozi katika chozi la heri(Solved)
Jadili dhana ya chozi katika chozi la heri.
Date posted: August 11, 2018. Answers (1)
- Eleza dhamira ya mwandishi katika hadithi ya kidege(Solved)
Eleza dhamira ya mwandishi katika hadithi ya kidege
Date posted: August 11, 2018. Answers (1)
- Toa mifano katika hadithi ya mke wangu kuonyesha maudhui ya ukandamizaji wa wanawake(Solved)
Toa mifano katika hadithi ya mke wangu kuonyesha maudhui ya ukandamizaji wa wanawake.
Date posted: August 10, 2018. Answers (1)
- Maudhui ya utamaduni yamedhihirishwa vipi katika hadithi ya mke wangu katika kitabu cha damu nyeusi(Solved)
Maudhui ya utamaduni yamedhihirishwa vipi katika hadithi ya mke wangu katika kitabu cha damu nyeusi.
Date posted: August 10, 2018. Answers (1)