Onyesha matumizi ya methali na taharuki katika samaki wa nchi za joto

      

Onyesha matumizi ya methali na taharuki katika samaki wa nchi za joto.

  

Answers


KELVIN
Methali
? Mwiba wa kujidunga…
? Palikuwa na kimya chenye mshindo-baada ya Zac kuwaacha na Peter-walinyamaziana.
Taharuki
? Mwisho wa Christine na Peter ulikuwaje?
? Baada ya kuavya mimba, afya ya Christine ilikuwaje?
? Jagtit alimchukulia hatua gani mhindi mwenzake Sunja kwa kumpa noti ya dola 100 bandia?

kalvinspartan answered the question on August 15, 2018 at 12:35


Next: Eleza jinsi mdokezo ulivyotumika katika samaki wa nchi za joto
Previous: Onyesha matumizi ya balagha katika hadithi fupi samaki wa nchi za joto

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions