Nini sababu zinazochangia kuwepo Kwa uwingi lugha?

      

Nini sababu zinazochangia kuwepo Kwa uwingi lugha?

  

Answers


Cyril
1.kuwepo Kwa sera za lugha za wakoloni
2.kuwepo Kwa Dini tofauti tofauti.
3.kuwepo Kwa Ndoa za msoto.
4.Elimu
5.Uchumi na biashara.
6.Udiplomasia.
7.Mwingiliano wa watu Katika jamii.
patmalone254 answered the question on August 27, 2018 at 20:03


Next: Elezea maana ya lafudhi na sababu za kuwa nazo
Previous: What is the importance of introduction in a lesson?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions