Elezea tofauti Kati ya kuchanganya ndimi na kuhamisha ndimi?

      

Elezea tofauti Kati ya kuchanganya ndimi na kuhamisha ndimi?

  

Answers


Cyril
1)kuchanganya ndimi, ni Hali yakutumia zaidi ya lugha moja katika mawasiliano,matumizi haya hujikuta katika sentensi moja/mzungumzaji anatoka kidogo katika lugha moja na kuingilia nyingine kisha akarejelea lugha ya awali.

2)kuhamisha ndimi, kubadilisha mkondo wamazumgumzo kutoka lugha moja hadi nyingine ambapo msemaji ana umiliki wa zaidi ya lugha mbili.
patmalone254 answered the question on August 29, 2018 at 20:09


Next: Outline five effects of modern political authority on traditional authority
Previous: Elezea mbinu za kuunda maneno?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions