Elezea mbinu za kuunda maneno?

      

Elezea mbinu za kuunda maneno?

  

Answers


Cyril
1.Tafsiri sisisi
2.kutohoa
3.kuunganisha maneno
4.uhamishaji wa maneno kutoka lugha mf.Ugali
5.kukopa
6.ufupishaji/mnyambuliko.
7.kuongeza viambishi/mnyambuliko.
8.kukopa
patmalone254 answered the question on August 29, 2018 at 20:21


Next: Elezea tofauti Kati ya kuchanganya ndimi na kuhamisha ndimi?
Previous: Scenario A, You are currently employed by highway assemblers, who assemble motorbike parts in Kenya. The management is making a decision of whether to continue...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions