Taja aina nane na miundo ya tungo katika mashairi ya arudhi

      

Taja aina nane na miundo ya tungo katika mashairi ya arudhi.

  

Answers


Esther
1. Pindu- asili yake huwa ni aina ya wimbo.Huchukua neno la mwisho katika kila utao na mleo.
2.mandhuma-ni bahari unaofanya ukwapi kutoa wazo na utao kujibu .
3.ngonjera- hutumika kama mfano wa tamthiliaya watu wawili au zaidi wanaojibizana kishairi.
4.ukaraguni-kila ubeti huwa una silabi tofauti na kingine.
5.mtiririko- vina vya kati na vya nje hufananakatika shairi zima.
6.sakarani- bahari kadhaa kuchanganywa katika shairi moja.
7.kikwamba- neno moja kutumika katika kuanzia kila mstari.
8.kikai- asili yake huwa na mizani kumi na miwili.nane katika ukwapi na nane katika utao.
Estherjeps answered the question on September 4, 2018 at 14:26


Next: Describe how a buffer solution is formed
Previous: Mambo gani ambayo mtunzi anapotunga shairi la arudhi.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions