Mambo gani ambayo mtunzi anapotunga shairi la arudhi.

      

Utungaji wa kisanii. Shairi la arudhi.

  

Answers


Esther
1. Maudhui- maadili au mafunzo mbalimbali
2.idadi ya mishororo-aamue idadi ya mishororo katika kila ubeti.
3.mizani-silabi katika mshororo.
4.vina- silabi zinazofanana kituoni mwa kila sentensi.
5.kipokeo-mshororo wa mwisho katika kila ubeti.
Estherjeps answered the question on September 4, 2018 at 14:34


Next: Taja aina nane na miundo ya tungo katika mashairi ya arudhi
Previous: Explain tropic responses in plants and their survival

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions