Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
(i) msemaji _Balozi
(ii) msemewa-wanasokomoko
(iii) wapi-katika uwanja wa Nasaba Bora
(iv) Lini- sikukuu ya wazalendo nchini Tomoko
Sifa za Msemaji
(i) Mfawidhi katika sherehe za kitaifa huko sokomoko
(ii) Msiri mkubwa wa Nasaba Bora
(iii) Hatibu bora-alikuwa na maneno matamu
(iv) Mcheshi-aliwachekesha watu kwa maneno yake yaliyojaa chumvi
(v) Mnafiki- anamsifu Nasaba Bora ili anufaike kibinafsi
(vi) Mwenye tahadhari- hakutaka kusema jambo lolote ambalo lingehatarisha kazi yake
Zozote 4x1=4
(c) Mbinu za lugha
(i) Takriri – Neno huru limerudiwarudiwa
(ii) Kinaya- anadai kuwa afrika iko huru
(d) Afrika bado haijawa huru
(i) Unyakuzi wa Mashamba wa wanyonge kuendelezwa na viongozi kama walivyofanya wazungu km.
Nasaba Bora
(ii) Mauaji ya wanyonge wa wanaohatarisha utawala na maslahi ya
Mtemi Nasaba Bora
(iii) Viongozi kama Nasaba Bora kutumia asasi za serikali kama vile jela kunyamazisha waliodhaniwa kuhatarisha maslahi yao
(iv) Mahakama kutumiwa kama asasi ya kuendeleza utawala kwa kutoa hukumu zilizopendelea watawala kama mtemi Nasaba Bora
(v) Matabaka yalizidi kujidhihirisha na kupanuka zaidi ya wakati wa Ukooni-matajiri ambao walikuwa ni viongozi na vibaraka wao na maskini ambao ni watu wa kawaida
(vi) Lugha za kibepari kama kiingereza kuzidi kutumika katika shughuli rasmi kami vile utawala,mikutano rasmi katika shule n.k
(vii) Utegemezi wa misaada kutoka nchi za kibepari ili kufadhili miundo – mingi barani km. msaada wa kujenga hospitali ya Nasaba Bora
Mwafrika kuzidi kupokea elimu ya kigeni/kibepari.Nasaba Bora na Majisifu kupata
elimu kutoka kwa wamisheni kwa mfano Madhubuti anapelekwa Urusi,Fao anapelekwa Uingereza
(viii) Unyonyaji wa mwafrika kuzidi hata zaidi ya wakati wa kikoloni
(ix)Udhalimu kuendelezwa dhidi ya wanyonge
ESTHER STEVE answered the question on September 7, 2018 at 20:09
- “Huyu mwendawazimu anakuja nini kwenye sherehe hizi?Anafikiri sherehe hizi ni za watu wenye kichaa kama yeye”a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (al.4)b) Eleza tamathali...(Solved)
“Huyu mwendawazimu anakuja nini kwenye sherehe hizi?Anafikiri sherehe hizi ni za watu wenye kichaa kama yeye”
a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (al.4)
b) Eleza tamathali mbili zilizotumiwa katika dondoo hili. (al.4)
c) Thibitisha kuwa anayerejelewa ni mwendawazimu na vile vile si mwendawazimu. (al.12)
Date posted: September 7, 2018. Answers (1)
- Mambo gani ambayo mtunzi anapotunga shairi la arudhi.(Solved)
Utungaji wa kisanii. Shairi la arudhi.
Date posted: September 4, 2018. Answers (1)
- Taja aina nane na miundo ya tungo katika mashairi ya arudhi(Solved)
Taja aina nane na miundo ya tungo katika mashairi ya arudhi.
Date posted: September 4, 2018. Answers (1)
- Elezea mbinu za kuunda maneno?(Solved)
Elezea mbinu za kuunda maneno?
Date posted: August 29, 2018. Answers (1)
- Elezea tofauti Kati ya kuchanganya ndimi na kuhamisha ndimi? (Solved)
Elezea tofauti Kati ya kuchanganya ndimi na kuhamisha ndimi?
Date posted: August 29, 2018. Answers (1)
- Lugha ya 'sheng' imekua lugha ambayo vijana wameipenda saana. Taja sifa saba ya sheng?(Solved)
Lugha ya 'sheng' imekua lugha ambayo vijana wameipenda saana. Taja sifa saba ya sheng?
Date posted: August 29, 2018. Answers (1)
- Elezea hatua za usanifishaji?(Solved)
Elezea hatua za usanifishaji?
Date posted: August 29, 2018. Answers (1)
- Nini sababu zinazochangia kuwepo Kwa uwingi lugha?(Solved)
Nini sababu zinazochangia kuwepo Kwa uwingi lugha?
Date posted: August 27, 2018. Answers (1)
- Elezea maana ya lafudhi na sababu za kuwa nazo(Solved)
Elezea maana ya lafudhi na sababu za kuwa nazo.
Date posted: August 27, 2018. Answers (1)
- Tunga sentensi yenye muundo ufuatao _RN+RT(Solved)
Tunga sentensi yenye muundo ufuatao _RN+RT
Date posted: August 26, 2018. Answers (1)
- Taaluma ya Sintaksia inahusiana na taaluma nyingine nyingi. Fafanua(Solved)
Taaluma ya Sintaksia inahusiana na taaluma nyingine nyingi. Fafanua
Date posted: August 26, 2018. Answers (1)
- Ni nini maana ya dhana Sintaksia?(Solved)
Ni nini maana ya dhana Sintaksia?
Date posted: August 26, 2018. Answers (1)
- Jadili maudhui ya ujenzi katika jamii katika tamthilia ya Kigogo(Solved)
Jadili maudhui ya ujenzi katika jamii katika tamthilia ya Kigogo.
Date posted: August 23, 2018. Answers (1)
- Uzembe ni Jambo la kawaida miongoni mwa wafanyakazi wa umma.Kwa kutolea mifano kumi tetea dai hili Kwa mujibu wa riwaya ya Kidagaa Kimemwozea.(Solved)
Uzembe ni Jambo la kawaida miongoni mwa wafanyakazi wa umma.Kwa kutolea mifano kumi tetea dai hili Kwa mujibu wa riwaya ya Kidagaa Kimemwozea.
Date posted: August 21, 2018. Answers (1)
- Nini tofauti ya ngoma na ngomezi?(Solved)
Nini tofauti ya ngoma na ngomezi?
Date posted: August 18, 2018. Answers (1)
- Onyesha ufaafu wa mada "damu nyeusi"(Solved)
Onyesha ufaafu wa mada "damu nyeusi"
Date posted: August 15, 2018. Answers (1)
- Jadili mbinu tano za lugha zilizotumika na mwandishi katika hadithi ya samaki wa nchi za joto(Solved)
Jadili mbinu tano za lugha zilizotumika na mwandishi katika hadithi ya samaki wa nchi za joto.
Date posted: August 15, 2018. Answers (1)
- Onyesha matumizi ya balagha katika hadithi fupi samaki wa nchi za joto(Solved)
Onyesha matumizi ya balagha katika hadithi fupi samaki wa nchi za joto.
Date posted: August 15, 2018. Answers (1)
- Onyesha matumizi ya methali na taharuki katika samaki wa nchi za joto(Solved)
Onyesha matumizi ya methali na taharuki katika samaki wa nchi za joto.
Date posted: August 15, 2018. Answers (1)
- Eleza jinsi mdokezo ulivyotumika katika samaki wa nchi za joto(Solved)
Eleza jinsi mdokezo ulivyotumika katika samaki wa nchi za joto.
Date posted: August 15, 2018. Answers (1)