KIDAGAA KIMEMWOZEA : Ken Walibora 2. “Nilikwambia twende ukakataa……si kuona, tuone ndipo tuambe” (a) Weka dondoo katika muktadha wake (al.4) (b) Fafanua hulka za msemewa (al.6) (c) Taja tamadhali ilitumika...

      

KIDAGAA KIMEMWOZEA : Ken Walibora
2. “Nilikwambia twende ukakataa……si kuona, tuone ndipo tuambe”
(a) Weka dondoo katika muktadha wake (al.4)
(b) Fafanua hulka za mswemewa (al.6)
(c) Taja tamadhali ilitumika katika dondoo (al.2)
(d) Eleza umuhimu wa yanayorejelewa (al.4)
(e) Jadili umuhimu wa msemaji (al.4)
)

  

Answers


ESTHER
)Msemaji ni Amani
Msemewa ni Imani
Wamo nyumbani
Ilikuwa ni baada ya sherehe za wazalendo ambapo Imani alitaka kujua sherehe ilikuwa vipi
b) - Imani ni mwenye bidii kazini alifanya kazi vizuri kwa majisifu
- Ni mpole
- Mwenye stahamala ;walisafiri pamoja ana Amani hadi Soko moko bila chakula maji wala fedha
- Mwenye huruma , aliwahudumia wanawe majisifu kiutu . Hakuwaona kama masimbi au mashata , baba yao alivyowaona
- Karim alimtembela DJ hospitalini baada ya kuumwa na mbwa
- Mwenye mapenzi ya dhati /utu - alitunza kitoto uhuru hadi kilipo kufa aliwadanmani wanawe majisifu
- Mwenye hekima alimshauri Oscar kambona (Gaddafi) aache kumwandama Mtemi Nasaba Bora arudi Barack aishi na Kweche Makweche
- Ni jasiri - alimwelezea majisifu wizi wa kitaaluma bila kuhofia

c) Methali - kusikia sikuoni : kuku; ndipo tuamba
d) Sherehe za wazelendo zilikuwa na umuhimu wa
kukumbuka waliojitolea mhanga , kukomboa nehi kama alivyoshuhubu Balozi
- Ni siku ya matumbuizo ( (kusheherekea mkesha wa siku hiyo wasokomko walisherehekea kwa vigoma na magoma aidha kulikuwa na kandanda
- Ni wakati wa viongozi kukutamka kama taifa mfano mtemi Nasaba Bora alisema hotuba ya rais sawa na iliyokuwa ikisomwa Songoa
- Ni siku ya watu kukutahanika kama taifa mfano , uwanja wa Nasaba Bora ulijawa na sufufu ya watu
(2x2)
e)-Ni kielezo cha kizazi kipya ambacho kinafaa kuwa mbegu ya ukombozi katika jamii
- Ni chanzo cha mabadiliko ya uombozi katika jamii
- Anatumiwa kuonyesha kuwa bidii na ari maishani hufaa matunda meme ( 2x2)

ESTHER STEVE answered the question on September 7, 2018 at 20:19


Next:  KIDAGAA KIMEMWOZEA – KEN WALIBORA 1 “ Nani kadai kwamba Afrika huru haiko huru...” (a) Eleza muktadha wa dondoo hili (alama 4) (b) Fafanua sifa nne za msemaji...
Previous: “Nchi ya Tomoko imejawa na uozo” tetea kauli hii kwa mujibu wa riwaya ya kidagaa kimemwozea (al.20)

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions