“Nchi ya Tomoko imejawa na uozo” tetea kauli hii kwa mujibu wa riwaya ya kidagaa kimemwozea (al.20)

      

“Nchi ya Tomoko imejawa na uozo” tetea kauli hii kwa mujibu wa riwaya ya kidagaa
kimemwozea (al.20)

  

Answers


ESTHER
) Jamii yenye dhuluma dhidi ya wanyonge mfano Amani anasingiziwa kuzaa nje ya ndoa na Mtemi Wa
saba Bora
- Jamii yenye waatili :Amani na Imani wanapigwa na askari korokoroni
- Jamii yenye ubakaji mfano Bella alishikwa mara kadhaa kwa kosa hili.
- Jamii inayokiuka haki za watoto mfano DJ ni mtoto na aanajiriwa.
- Jamii inayothamini ubaguzi , mfano Majisifu aliwabagua wanawe walemavu/ mashaka vilevile aliwadhulumu
- Jamii yenye viongozi wasiona ule mfano kwa mfano , Mtemi Nasaba Bora alitoa amri raia wasiruhusishwe kujisatiri mvua katika kubanda cha wafunziwa
- Jamii hiyo ina uafiki mwingi . Majisifu licha ya kuwa motto wa kasisi , alikuwa mwovu kupindukia alidanganya mkwewe
- Jamii hiyo ina uovu wa mania ya kuholela kwa mafano, Mtemi Nasaba , Bora alimwleza mwenye hati miliki ya shamba la akina Amani
- Jamii isiyodhamini wafunzwa /jamii unaowatesa wafunzwa kwa mfano: Matuta wenye alikaa siku nzima korooroni bila chakula
- Uovu wa unyanganyai , Mtemi aliwanyanganya wengi mashaba kimabaru
- Uovu wa wizi kama vile Majisifu kuba mswade wa kidagaa kumerushwa
- Wanawake waliokimbizwa kutoka jamii hiyo ; mfano Majisifu anakosa kumuamini mkewe (Dora) au kuwaunza watototo
- Jamii yenye viongozi wasio na utu kwa mfano ,Mtemi Nasaba Bora alitoa amri raia wasiruhusiwe kujiseti
Mvua katika kibanda wa waenziwa
- Jamii hiyo ina unafiki mwingi wa majisufu licha ya kuwa mtoto wa kasisi , alikuwa mwovu kupindukia alidaganganya mkewe
- Jamii hiyo ina uovu wa Manaji ya kiholela kwa mfano; Mtemi Nasaba Bora alimmaliza mwenye hati miliki ya shamba la akina Amina.

- Jamii isiyothamini wafungwa /jamii inaowatesa wafungwa kwa mfano; Matutu Weye alikaa siku nzima
korokoroni bila chakula .
- Uovu wa unyanganyi ; Mtemi aliwanyanganya wengi mashamba kimabavu
- Uovu wa wizi kama vile , Majisifu kuiba Mswada wa ki’d’agaa kimemwozea..
- Wanawake wanao kandamizwa katika jamii hiyo; mfano , Majisifu anaakosa kumwamini mkwewe
(Dora) kazi za kuwatunza watoto walemavu.


ESTHER STEVE answered the question on September 7, 2018 at 20:20


Next:  KIDAGAA KIMEMWOZEA : Ken Walibora 2. “Nilikwambia twende ukakataa……si kuona, tuone ndipo tuambe” (a) Weka dondoo katika muktadha wake (al.4) (b) Fafanua hulka za msemewa (al.6) (c) Taja tamadhali ilitumika...
Previous: Differentiate between vascular cambium and cork cambium

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions