Andika sentensi hii katika hali ya mazoea: Mmomonyoko wa udongo ulipozuiliwa mashamba yalinawiri.

      

Andika sentensi hii katika hali ya mazoea:
Mmomonyoko wa udongo ulipozuiliwa mashamba yalinawiri.

  

Answers


Jim
Mmomonyoko wa udongo uzuiliwapo mashamba hunawiri.

jim items answered the question on September 24, 2018 at 17:05


Next: Onyesha matumizi ya `ka’ katika sentensi ifuatayo: Mumbi alitia embe kapuni likaiva.
Previous: Tumia viwakilishi badala ya nomino zilizo katika sentensi: Mtalii atazuru Mbuga.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions