Tumia viwakilishi badala ya nomino zilizo katika sentensi: Mtalii atazuru Mbuga.

      

Tumia viwakilishi badala ya nomino zilizo katika sentensi:
Mtalii atazuru Mbuga.

  

Answers


Jim
Yeye atazuru huko.
Huyu atazuru kule.
jim items answered the question on September 24, 2018 at 17:06


Next: Andika sentensi hii katika hali ya mazoea: Mmomonyoko wa udongo ulipozuiliwa mashamba yalinawiri.
Previous: Tunga sentensi yenye muundo ufuatao; Nomino ya jamii,kirai kihusishi,kitenzi kishirikishi,kielezi cha mahali.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions