Tunga sentensi yenye muundo ufuatao; Nomino ya jamii,kirai kihusishi,kitenzi kishirikishi,kielezi cha mahali.

      

Tunga sentensi yenye muundo ufuatao;
Nomino ya jamii,kirai kihusishi,kitenzi kishirikishi,kielezi cha mahali.

  

Answers


Jim
Kikosi cha askari,pamoja naye,kingali gwarideni.
jim items answered the question on September 24, 2018 at 17:07


Next: Tumia viwakilishi badala ya nomino zilizo katika sentensi: Mtalii atazuru Mbuga.
Previous: Andika sentensi ifuatayo katika hali ya ukubwa: Nyumba hizo zilijengwa mbali na mji ule.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions