Andika sentensi ifuatayo katika hali ya ukubwa: Nyumba hizo zilijengwa mbali na mji ule.

      

Andika sentensi ifuatayo katika hali ya ukubwa:
Nyumba hizo zilijengwa mbali na mji ule.

  

Answers


Jim
Majumba hayo yalijengwa mbali na jiji lile.

jim items answered the question on September 24, 2018 at 17:08


Next: Tunga sentensi yenye muundo ufuatao; Nomino ya jamii,kirai kihusishi,kitenzi kishirikishi,kielezi cha mahali.
Previous: Tunga sentensi yenye kishazi kirejeshi ambacho ni kivumishi.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions